Mkulu Electrical Shop

Wholesale and retail of home and industrial electric equipments
wauzaji wa jumla na rejareja wa vifaa vya umeme wa Majumbani na Viwandani.

Contacts: Mob; +255 754 (0) 487 280 sales@mkulu-hotel.com


Slide 1 jFlow PlusMkulu electrical
Suluhisho la bidhaa halisi za
umeme wa majumbani na Viwandani
katika jiji la Mbeya.
Slide 2 jFlow PlusBidhaa zetu;
Tunasambaza bidhaa halisi tu
na ambazo ni orijino zikiwa
zimekidhi ubora wa kutosha.
Slide 3 jFlow PlusBidhaa Mbalimbali

Bidhaa halisi
Tupigie kwa namba +255 754 (0) 487 280 .
Slide 3 jFlow PlusSolar pannels, Coil Wires
Tunauza Solar pannels aina
zote kwa bei nafuu.
pia tunauza nyaya aina
zote za kusukia koili za umeme.


Mkulu Electrical shop - Soweto Area, Mbeya city

We are located at Soweto, Mbeya city. Mkulu electrical shop is dedicated to the distribution of the original electrical equipments, appliances and other electrical accessories. We are the retail and wholesalers at a reasonable competitive and affordable price.


Tupo Soweto, jijini Mbeya. Mkulu duka la umeme limejikita katika usambazaji wa vifaa halisi (Orijino) vya umeme na korokoro zake zote. Sisi ni wauzaji wa rejareja na jumla kwa bei nafuu na stahiki.

We have enough stock of the electric equipments.

Tuna bidhaa za kutosha za vifaa aina mbalimbali vya umeme.

Tunasambaza bidhaa za umeme kwa jumla kwa maeneo yafuatayo;
Tunduma, Vwawa, Mlowo, Mbalizi, Mbeya jijini, Tukuyu, Kyela, Makambako na Njombe.
Kwa kupata huduma, wasiliana nasi kwa namba zetu za hapo juu.

SOLAR PANNELS

Umeme wa JUA
Tunazo solar pannels aina zote na orijino kwa bei nafuu. Tunatoa ushauri na kukupatia fundi wa kukufungia
Taa za umeme
Tunauza taa za aina zote ambazo zinahimili volteji ndogo (low voltage).
Electrical installations
Pia tunao mafundi waliobobea katika kazi za uunganishaji wa mfumo wa umeme majumbani, mahotelini na viwandani pia.

Call us now!

CELL: +255 754 (0) 487 280


sales@mkulu-hotel.com
www.mkulu-hotel.com

Picha zaidi za Vifaa